Tetesi: Kibatala kujitoa kusimamia kesi zihusuzo CHADEMA

Wakili msomi maarufu Nchini Tanzania na ambaye mara zote hujizolea sifa kemkem kwa uhodari wake asimamiapo kesi za Wana-CHADEMA na hususani Viongozi wake inaelezwa ame-wataarifu watu wa karibu yake kukatishwa tamaa/kusononeshwa na atendewayo Lissu ikiwamo kutwezwa.

"....Kibatala anafikiria kuachana na utetezi wa mashtaka yeyote yajayo yatakayo kihusisha Chadema kwa kumuunga mkono Tundu." Chanzo.
Mjomba angu Mbowe asante kwa kutetea kikoba cha ukoo. Njoo usikie milio ya wanafiki wetu huku. Wachagga tumuunge mkono mbowe, kikoba hiki kimetutoa mbali.
 
Bora angemuachaga Mbowe akafungwa jela na yale makesi yake kuliko huu uhuni anaotufanyia uraiani leo hii!.
 
Hivi kwa akili yako unafikiri hiyo kazi huwa anawafanyia bure? Kwa taarifa yako ni kwamba huwa anawatandika kweli kweli. Huwaombea wawe na kesi kedekede. Kwa mwaka hakosi bilioni moja kutokana na kesi za chadema.
Na bado Mbowe anaongeza zake.
 
Hivi kwa akili yako unafikiri hiyo kazi huwa anawafanyia bure? Kwa taarifa yako ni kwamba huwa anawatandika kweli kweli. Huwaombea wawe na kesi kedekede. Kwa mwaka hakosi bilioni moja kutokana na kesi za chadema.
Halafu watu wengi wanadhani kibatala anafanya bure, sio kweli analipwa
 
Wakili msomi maarufu Nchini Tanzania na ambaye mara zote hujizolea sifa kemkem kwa uhodari wake asimamiapo kesi za Wana-CHADEMA na hususani Viongozi wake inaelezwa ame-wataarifu watu wa karibu yake kukatishwa tamaa/kusononeshwa na atendewayo Lissu ikiwamo kutwezwa.

"....Kibatala anafikiria kuachana na utetezi wa mashtaka yeyote yajayo yatakayo kihusisha Chadema kwa kumuunga mkono Tundu." Chanzo.
Kutetea CHADEMA kwake ni ajira nono ya uhakika.

Akijitoa mawakili wengine watabeba hilo jukumu.
 
Wakili msomi maarufu Nchini Tanzania na ambaye mara zote hujizolea sifa kemkem kwa uhodari wake asimamiapo kesi za Wana-CHADEMA na hususani Viongozi wake inaelezwa ame-wataarifu watu wa karibu yake kukatishwa tamaa/kusononeshwa na atendewayo Lissu ikiwamo kutwezwa.

"....Kibatala anafikiria kuachana na utetezi wa mashtaka yeyote yajayo yatakayo kihusisha Chadema kwa kumuunga mkono Tundu." Chanzo.
Aache, hivi kaacha kuvuta bangi? Tehetehe, kwamba huwa anatoa hela nyingi kusodo mise interns wake, hii dunia iba wahuni wengi sana
 
Back
Top Bottom