Tetesi: Kibatala kujitoa kusimamia kesi zihusuzo CHADEMA

Mjomba angu Mbowe asante kwa kutetea kikoba cha ukoo. Njoo usikie milio ya wanafiki wetu huku. Wachagga tumuunge mkono mbowe, kikoba hiki kimetutoa mbali.
 
Bora angemuachaga Mbowe akafungwa jela na yale makesi yake kuliko huu uhuni anaotufanyia uraiani leo hii!.
 
Hivi kwa akili yako unafikiri hiyo kazi huwa anawafanyia bure? Kwa taarifa yako ni kwamba huwa anawatandika kweli kweli. Huwaombea wawe na kesi kedekede. Kwa mwaka hakosi bilioni moja kutokana na kesi za chadema.
Na bado Mbowe anaongeza zake.
 
Hivi kwa akili yako unafikiri hiyo kazi huwa anawafanyia bure? Kwa taarifa yako ni kwamba huwa anawatandika kweli kweli. Huwaombea wawe na kesi kedekede. Kwa mwaka hakosi bilioni moja kutokana na kesi za chadema.
Halafu watu wengi wanadhani kibatala anafanya bure, sio kweli analipwa
 
Kutetea CHADEMA kwake ni ajira nono ya uhakika.

Akijitoa mawakili wengine watabeba hilo jukumu.
 
Aache, hivi kaacha kuvuta bangi? Tehetehe, kwamba huwa anatoa hela nyingi kusodo mise interns wake, hii dunia iba wahuni wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…