Tetesi: Kibatala kukata rufaa kuondolewa jina la Tundu Lissu Urais TLS

Tetesi: Kibatala kukata rufaa kuondolewa jina la Tundu Lissu Urais TLS

Karume kapindua meza sasa kavaa uhalisia wake dhidi ya rais mtoro!
 
Karume kapindua meza sasa kavaa uhalisia wake dhidi ya rais mtoro!
Ila wasomi wenzake waliostaarabika hawatamchagua. Hawangependa tena bar society yao iendelee kutumiwa na wanaharakati wa kisiasa. Huyo Fatuma ikimugusa tu anakupeleka mahakamani kukudai sh billion moja. Yule afande sijui waliyamalizaje.
 
Hako ka binti Karume kanagombea urais wa TLS?

WTF!!
wakitaka nchi yao... wenzetu wakitaka kugombea chochote wazanzibar . ujinga ujinga tu wa kujidai kila mtu yupo nje kumbe aengine wameolewa na waume wenzao
 
Kufuatia kuondolewa kwa jina la Rais wa TLS Tundu Lissu kutetea kiti chake TLS kwa kile kamati ya uchaguzi ilichodai aliyependekeza jina la Tundu Lissu ameshindwa kuthibitisha uhalisia wa fomu ya ugombea, kuna tetesi kwamba wakili msomi Peter Kibatala amepanga kukata rufaa dhidi ya maamuzi hayo ya kamati ya uchaguzi wa TLS mapema iwezekanavyo.

Kamati ya uchaguzi TLS imepitisha majina ya wanaowania nafasi mbali mbali za uongozi TLS huku miongoni mwao akiwemo mwanasheria msomi machachari mwanamama Fatma Karume anayegombea urais akichuana na makamu wa Rais wa sasa Godwin Ngwilimi, wagombea wengine ni Godwin Mwapongo na Godfrey Wasonga. Katika nafasi ya makamu wa Rais kuna Rugemeleza Nshala.View attachment 721633
Tarehe ya mwisho kukata rufaa ni tarehe 23 March 2018

Viingereza vya Mawakili Wasomi ili kuvitafsiri na Wewe yakupasa uwe Msomi vile vile ila ukiwa hohehahe / mbayuwayu utaishia ' Kung'ang'ana ' tu na Kamusi kila mara ili angalau basi uweze kuwabahatisha kuwaelewa au kuulizia kwa Watu nini amesema.

Shikamoo Wakili Msomi Peter Kibatala ( PK )
 
Back
Top Bottom