Tetesi: Kibatala kukata rufaa kuondolewa jina la Tundu Lissu Urais TLS

Karume kapindua meza sasa kavaa uhalisia wake dhidi ya rais mtoro!
 
Watanzania Kwa roho mbaya uchaguzi Wa mwaka jana mizengwe kibao
 
Kama anampenda sana akanywe nae Chai- Mwl Nyerere
 
Karume kapindua meza sasa kavaa uhalisia wake dhidi ya rais mtoro!
Ila wasomi wenzake waliostaarabika hawatamchagua. Hawangependa tena bar society yao iendelee kutumiwa na wanaharakati wa kisiasa. Huyo Fatuma ikimugusa tu anakupeleka mahakamani kukudai sh billion moja. Yule afande sijui waliyamalizaje.
 
Karume this time around. Kibatala soma mchezo mapema
 
Hako ka binti Karume kanagombea urais wa TLS?

WTF!!
wakitaka nchi yao... wenzetu wakitaka kugombea chochote wazanzibar . ujinga ujinga tu wa kujidai kila mtu yupo nje kumbe aengine wameolewa na waume wenzao
 

Viingereza vya Mawakili Wasomi ili kuvitafsiri na Wewe yakupasa uwe Msomi vile vile ila ukiwa hohehahe / mbayuwayu utaishia ' Kung'ang'ana ' tu na Kamusi kila mara ili angalau basi uweze kuwabahatisha kuwaelewa au kuulizia kwa Watu nini amesema.

Shikamoo Wakili Msomi Peter Kibatala ( PK )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…