Kibatala na Sintofahamu ya Wabunge 19 Wasiokuwa Wanachadema

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Alivyofunguka kisomi wakili Kibatala kuwahusu wabunge 19 waliokuwa wanachama wa CHADEMA:

Sura tofauti katika kushughulikia tatizo la aina moja (double standards) katika rangi zake zaanikwa.

Waheshimiwa Pascal Mayalla , Petro E. Mselewa na ndugu wajumbe hoja hupingwa kwa hoja.

Au nasema uongo ndugu zangu?

Barikwa sana mtumishi kwa kuendelea kututoa tongotongo.

Mdogo mdogo, kwa pamoja tutafika tu.
 
Wala halina usomi. Ni uvunjaji wa katiba yetu ulio wazi. Wala haihitajiki Kibatala kumfanya mtu aelewe. Basi tu nchi inatawaliwa na washamba na wanaotawaliwa nao ni washamba. Bila katiba yenye checks and balances za kweli, haya mambo yataendelea sana.

Na ndio maana mafedhuli hayataki katiba mpya. Yanataka yaendelee kufanya ufedhuli bila kuzuiwa. Eti yanasema yanashughulikia maji, elimu na afya. Yalikuwa wapi kushughulikia hayo tangu 1961? Wanieleze ni nchi gani iliyoendelea ambayo siku moja ilifika hatua ya kuacha kushughulikia maji, elimu na afya? Haya ni mambo ambayo nchi zote zinaendelea kushughulikia mpaka mwisho wa dunia. Hata Marekani, UK, Japan... zinashughulikia haya mambo mpaka leo hii. Biden kasema bajeti yake kubwa inakwenda mwenye miundombinu.

Halafu yanasema katiba siyo sera yao. Akina JK, Waryoba, Butiku... ni UKAWA? Yaleyale aliyopita kukusanya maoni (Polepole, Kabudi, etc.) leo yanasema katiba mpya haihitajiki!! Yaani Tanzania hii ina watu mafara sana. Tena yanaongoza nchi eti! What a shame and disgrace to the country!!
 
Wala halina usomi. Ni uvunjaji wa katiba yetu ulio wazi. Wala haihitajiki Kibatala kumfanya mtu aelewe. Basi tu nchi inatawaliwa na washamba na wanaotawaliwa nao ni washamba. Bila katiba yenye checks and balances za kweli, haya mambo yataendelea sana.

Na ndio maana mafedhuli hayataki katiba mpya. Yanataka yaendelee kufanya ufedhuli bila kuzuiwa. Eti yanasema yanashughulikia maji, elimu na afya. Yalikuwa wapi kushughulikia hayo tangu 1961? Wanieleze ni nchi gani iliyoendelea ambayo siku moja ilifika hatua ya kuacha kushughulikia maji, elimu na afya? Haya ni mambo ambayo nchi zote zinaendelea kushughulikia mpaka mwisho wa dunia.

Halafu yanasema katiba siyo sera yao. Akina JK, Waryoba, Butiku ni UKAWA? Yaleyale aliyopita kukusanya maoni (Polepole, Kabudi etc.) leo yanasema katiba mpya haihitajiki!! Yaani Tanzania hii ina watu mafara sana. Tena yanaongoza nchi eti.
Yaani mkuu umeongea kiume kweli kweli japo sijui jinsia yako.

Nchi hii ina najisiwa na ccm. Siku ccm ikiondolewa madarakani mambo yataenda vizuri Sana mpk tutaanza kujilaumu kwann hatukuiondoa mapema.
 
kwenye hili CCM inaendeleza siasa zake za kale za divide and rule - ila kwa CDM hizo siasa zimeshindwa kupenya.. hapa ndipo wanapoumia roho zaidi.

Hili suala la kina Mdee kuwa Bungeni hadi leo hata mtoto mdogo anajua fika kwamba kuna dili lilifanyika.
 
Sheria iliotumika hapo ni Mwamba ngoma huvutia kwake.
 
Wala halina usomi. Ni uvunjaji wa katiba yetu ulio wazi. Wala haihitajiki Kibatala kumfanya mtu aelewe. Basi tu nchi inatawaliwa na washamba na wanaotawaliwa nao ni washamba. Bila katiba yenye checks and balances za kweli, haya mambo yataendelea sana.

Na ndio maana mafedhuli hayataki katiba mpya. Yanataka yaendelee kufanya ufedhuli bila kuzuiwa. Eti yanasema yanashughulikia maji, elimu na afya. Yalikuwa wapi kushughulikia hayo tangu 1961? Wanieleze ni nchi gani iliyoendelea ambayo siku moja ilifika hatua ya kuacha kushughulikia maji, elimu na afya? Haya ni mambo ambayo nchi zote zinaendelea kushughulikia mpaka mwisho wa dunia.

Halafu yanasema katiba siyo sera yao. Akina JK, Waryoba, Butiku ni UKAWA? Yaani Tanzania hii ina watu mafara sana. Tena yanaongoza nchi!!
Nadhani hiki ndio kinachotufanya wengine tuhofie kuwa Katiba Mpya itapatikana lakini uvunjifu wa sheria sio tu utaendelea bali hautochukuliwa hatua.

Nina maswali mawili yanayonitatiza
1. Kwanini Chadema hawajachukua hatua kisheria dhidi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo chama hicho inaituhumu kufoji orodha ya majina ya wabunge hao 19?
2. Kwanini Chadema haijachukua hatua za kisheria dhidi ya Spika wanayemtuhumu kuwakumbatia wabunge hao 19?
 
Wewe ni mmoja wa mafara wa nchi nini? Unaniuliza mimi habari za CHADEMA? Nahusiana nazo vipi? Unajua CHADEMA walipo. Kwa nini usiende kuuwauliza?

Chadema ina husika kwa 100% na Hao 19 COVID
Ugumu ni kua hao wabunge wamehusu usalama wa taifa kuingilia ndio maana unaona kuna tabu kubwa kujua ni nini kilitokea
Hii ni siri kubwa sana na wenye akili pekee ndio wataweza kunga'amua jambo hili
Ipo siku litawekwa wazi na tutajua chadema wamehusu au masisiemu na usalama
 
Nadhani hiki ndio kinachotufanya wengine tuhofie kuwa Katiba Mpya itapatikana lakini uvunjifu wa sheria sio tu utaendelea bali hautochukuliwa hatua.
Katiba bora huwa inajilinda na kjitetea yenyewe kiasi cha kutokutoa mwanya kwa yeyeote kuichezea. Na atakaye ichezea huwa anakiona cha moto.
Kwanini Chadema hawajachukua hatua kisheria dhidi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo chama hicho inaituhumu kufoji orodha ya majina ya wabunge hao 19?
Kwa mujibu wa hiyo katiba yetu mbovu maamuzi ya NEC haya hojiwi wala kushitakiwa na chombo chochote.
kisheria dhidi ya Spika wanayemtuhumu kuwakumbatia wabunge hao 19?
Spika alikuwa na baraka zote za rais (mwendazake) kufanya aliyo yafanya. Na wewe unajua rais kwa mujibu wa katiba yetu yupo juu ya katiba na vyombo vya kutoa haki. Nani angehukumu kwa haki kesi hiyo? Labda wajaribu chini ya huyu mama ambaye amehubiri haki, japo ....mmh!
 
Alivyofunguka kisomi wakili Kibatala kuwahusu wabunge 19 waliokuwa wanachama wa CHADEMA:

View attachment 1843135

Sura tofauti katika kushughulikia tatizo la aina moja (double standards) katika rangi zake zaanikwa.

Waheshimiwa Pascal Mayalla , Petro E. Mselewa na ndugu wajumbe hoja hupingwa kwa hoja.

Au nasema uongo ndugu zangu?

Barikwa sana mtumishi kwa kuendelea kututoa tongotongo.

Mdogo mdogo, kwa pamoja tutafika tu.
Wale wanaolinda masalai yao hawataki katiba mpya lazima tuidai kwa nguvu zote
 
Wewe ni mmoja wa mafara wa nchi nini? Unaniuliza mimi habari za CHADEMA? Nahusiana nazo vipi? Unajua CHADEMA walipo. Kwa nini usiende kuuwauliza?
Daah! Mkuu unamjua Evarist Chahali? Kuna watu wana hadhi zao bwana. Unapo mjibu tumia tu maneno ya staha bila kurusha maneno ya kukirihisha.

Maneno ya ajabu ajabu yatupe kwetu akina Sexless tusio na majina.
 
Nadhani hiki ndio kinachotufanya wengine tuhofie kuwa Katiba Mpya itapatikana lakini uvunjifu wa sheria sio tu utaendelea bali hautochukuliwa hatua.

Nina maswali mawili yanayonitatiza
1. Kwanini Chadema hawajachukua hatua kisheria dhidi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo chama hicho inaituhumu kufoji orodha ya majina ya wabunge hao 19?
2. Kwanini Chadema haijachukua hatua za kisheria dhidi ya Spika wanayemtuhumu kuwakumbatia wabunge hao 19?
chadema wamo
 
Samahani. Lakini kwa nini mimi niulizwe habari za CHADEMA? Halafu hata kwa akili ya kawaida hao CHADEMA anaotaka kwenda mahakamani, ni mahakama gani hiyo wangeenda ktk miaka 5 iliyopita? Ama huyo Evarist yeye alikuwa anaishi sayari nyingine? Anaweza asiwe mjinga lkn maswali yake ni ya kijinga.
Daah! Mkuu unamjua Evarist Chahali? Kuna watu wana hadhi zao bwana. Unapo mjibu tumia tu maneno ya staha bila kurusha maneno ya kukirihisha.

Maneno ya ajabu ajabu yatupe kwetu akina Sexless tusio na majina.
 
Wale wabunge walishafukuzwa uanachama toka spika anasita Nini kuwatoa bungeni .

Msiilamu chadema kwakuwa washajivua kuhusu hao watu.

Msala umebaki kwa spika JOBO
 
Ugumu ni kua hao wabunge wamehusu usalama wa taifa kuingilia ndio maana unaona kuna tabu kubwa kujua ni nini kilitokea
Hii ni siri kubwa sana na wenye akili pekee ndio wataweza kunga'amua jambo hili
Ipo siku litawekwa wazi na tutajua chadema wamehusu au masisiemu na usalama
Ugumu ni huu...
Kuna kamati za bunge ni lazima ziongozwe na wapinzani. Sasa unfortunately, CCM hawakuioiga hesabu hii wakati wa uchaguzi mkuu. Kwa wanavyojua wao, wakachukua viti vyote vya bunge na kuviacha viwili tu, Mtwara vijijini na Nkasi kaskazini. Hao wawili hawatoshi kuchukua nafasi za kamati husika. Hivyo njia pekee ni kuwang'ang'ania akina Halima na wenzie
 
Nadhani hiki ndio kinachotufanya wengine tuhofie kuwa Katiba Mpya itapatikana lakini uvunjifu wa sheria sio tu utaendelea bali hautochukuliwa hatua.

Nina maswali mawili yanayonitatiza
1. Kwanini Chadema hawajachukua hatua kisheria dhidi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo chama hicho inaituhumu kufoji orodha ya majina ya wabunge hao 19?
2. Kwanini Chadema haijachukua hatua za kisheria dhidi ya Spika wanayemtuhumu kuwakumbatia wabunge hao 19?
Kwa Mahakami ipi chini ya Jaji aliyeteuliwa na nani??
 
Back
Top Bottom