Hao wanajuana, hakuna Lolote hapo..! Nendeni mkachape Kazi. Kuna Siri nzito juu ya Wabunge 19 na hao Viongozi!
Yaani mkuu umeongea kiume kweli kweli japo sijui jinsia yako.Wala halina usomi. Ni uvunjaji wa katiba yetu ulio wazi. Wala haihitajiki Kibatala kumfanya mtu aelewe. Basi tu nchi inatawaliwa na washamba na wanaotawaliwa nao ni washamba. Bila katiba yenye checks and balances za kweli, haya mambo yataendelea sana.
Na ndio maana mafedhuli hayataki katiba mpya. Yanataka yaendelee kufanya ufedhuli bila kuzuiwa. Eti yanasema yanashughulikia maji, elimu na afya. Yalikuwa wapi kushughulikia hayo tangu 1961? Wanieleze ni nchi gani iliyoendelea ambayo siku moja ilifika hatua ya kuacha kushughulikia maji, elimu na afya? Haya ni mambo ambayo nchi zote zinaendelea kushughulikia mpaka mwisho wa dunia.
Halafu yanasema katiba siyo sera yao. Akina JK, Waryoba, Butiku ni UKAWA? Yaleyale aliyopita kukusanya maoni (Polepole, Kabudi etc.) leo yanasema katiba mpya haihitajiki!! Yaani Tanzania hii ina watu mafara sana. Tena yanaongoza nchi eti.
Nadhani hiki ndio kinachotufanya wengine tuhofie kuwa Katiba Mpya itapatikana lakini uvunjifu wa sheria sio tu utaendelea bali hautochukuliwa hatua.Wala halina usomi. Ni uvunjaji wa katiba yetu ulio wazi. Wala haihitajiki Kibatala kumfanya mtu aelewe. Basi tu nchi inatawaliwa na washamba na wanaotawaliwa nao ni washamba. Bila katiba yenye checks and balances za kweli, haya mambo yataendelea sana.
Na ndio maana mafedhuli hayataki katiba mpya. Yanataka yaendelee kufanya ufedhuli bila kuzuiwa. Eti yanasema yanashughulikia maji, elimu na afya. Yalikuwa wapi kushughulikia hayo tangu 1961? Wanieleze ni nchi gani iliyoendelea ambayo siku moja ilifika hatua ya kuacha kushughulikia maji, elimu na afya? Haya ni mambo ambayo nchi zote zinaendelea kushughulikia mpaka mwisho wa dunia.
Halafu yanasema katiba siyo sera yao. Akina JK, Waryoba, Butiku ni UKAWA? Yaani Tanzania hii ina watu mafara sana. Tena yanaongoza nchi!!
Nadhani hiki ndio kinachotufanya wengine tuhofie kuwa Katiba Mpya itapatikana lakini uvunjifu wa sheria sio tu utaendelea bali hautochukuliwa hatua.
Nina maswali mawili yanayonitatiza
1. Kwanini Chadema hawajachukua hatua kisheria dhidi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo chama hicho inaituhumu kufoji orodha ya majina ya wabunge hao 19?
2. Kwanini Chadema haijachukua hatua za kisheria dhidi ya Spika wanayemtuhumu kuwakumbatia wabunge hao 19?
Ugumu ni kua hao wabunge wamehusu usalama wa taifa kuingilia ndio maana unaona kuna tabu kubwa kujua ni nini kilitokeaChadema ina husika kwa 100% na Hao 19 COVID
Katiba bora huwa inajilinda na kjitetea yenyewe kiasi cha kutokutoa mwanya kwa yeyeote kuichezea. Na atakaye ichezea huwa anakiona cha moto.Nadhani hiki ndio kinachotufanya wengine tuhofie kuwa Katiba Mpya itapatikana lakini uvunjifu wa sheria sio tu utaendelea bali hautochukuliwa hatua.
Kwa mujibu wa hiyo katiba yetu mbovu maamuzi ya NEC haya hojiwi wala kushitakiwa na chombo chochote.Kwanini Chadema hawajachukua hatua kisheria dhidi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo chama hicho inaituhumu kufoji orodha ya majina ya wabunge hao 19?
Spika alikuwa na baraka zote za rais (mwendazake) kufanya aliyo yafanya. Na wewe unajua rais kwa mujibu wa katiba yetu yupo juu ya katiba na vyombo vya kutoa haki. Nani angehukumu kwa haki kesi hiyo? Labda wajaribu chini ya huyu mama ambaye amehubiri haki, japo ....mmh!kisheria dhidi ya Spika wanayemtuhumu kuwakumbatia wabunge hao 19?
Wale wanaolinda masalai yao hawataki katiba mpya lazima tuidai kwa nguvu zoteAlivyofunguka kisomi wakili Kibatala kuwahusu wabunge 19 waliokuwa wanachama wa CHADEMA:
View attachment 1843135
Sura tofauti katika kushughulikia tatizo la aina moja (double standards) katika rangi zake zaanikwa.
Waheshimiwa Pascal Mayalla , Petro E. Mselewa na ndugu wajumbe hoja hupingwa kwa hoja.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Barikwa sana mtumishi kwa kuendelea kututoa tongotongo.
Mdogo mdogo, kwa pamoja tutafika tu.
Daah! Mkuu unamjua Evarist Chahali? Kuna watu wana hadhi zao bwana. Unapo mjibu tumia tu maneno ya staha bila kurusha maneno ya kukirihisha.Wewe ni mmoja wa mafara wa nchi nini? Unaniuliza mimi habari za CHADEMA? Nahusiana nazo vipi? Unajua CHADEMA walipo. Kwa nini usiende kuuwauliza?
chadema wamoNadhani hiki ndio kinachotufanya wengine tuhofie kuwa Katiba Mpya itapatikana lakini uvunjifu wa sheria sio tu utaendelea bali hautochukuliwa hatua.
Nina maswali mawili yanayonitatiza
1. Kwanini Chadema hawajachukua hatua kisheria dhidi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo chama hicho inaituhumu kufoji orodha ya majina ya wabunge hao 19?
2. Kwanini Chadema haijachukua hatua za kisheria dhidi ya Spika wanayemtuhumu kuwakumbatia wabunge hao 19?
Daah! Mkuu unamjua Evarist Chahali? Kuna watu wana hadhi zao bwana. Unapo mjibu tumia tu maneno ya staha bila kurusha maneno ya kukirihisha.
Maneno ya ajabu ajabu yatupe kwetu akina Sexless tusio na majina.
Dah!!! Mkuu kwa nini unadhalilisha mbwa???Wewe ni mbwa kweli kweli.
Ugumu ni huu...Ugumu ni kua hao wabunge wamehusu usalama wa taifa kuingilia ndio maana unaona kuna tabu kubwa kujua ni nini kilitokea
Hii ni siri kubwa sana na wenye akili pekee ndio wataweza kunga'amua jambo hili
Ipo siku litawekwa wazi na tutajua chadema wamehusu au masisiemu na usalama
Kwa Mahakami ipi chini ya Jaji aliyeteuliwa na nani??Nadhani hiki ndio kinachotufanya wengine tuhofie kuwa Katiba Mpya itapatikana lakini uvunjifu wa sheria sio tu utaendelea bali hautochukuliwa hatua.