Kibatala tena

KIBATALA: Unadai Mbowe alisema Jacob Zuma alilazimishwa kujiuzulu. Je ni kweli au si kweli?

SSP Ngichi: Sifahamu

KIBATALA: Unadai Mbowe alisema Mugabe aling'olewa madarakani. Je ni kweli Mugabe aling'olewa au hakung'olewa?

SSP Ngichi: Sijui

KIBATALA: Unawezaje kufungua mashtaka kwa mambo ambayo hata wewe hujui?
 
KIBATALA: Unawezaje kufungua mashtaka kwa mambo ambayo hata wewe hujui?😂
 
Kibatala cuma nyotco walahi
 
Huyu SSP ana akili. Angekubali kumjua Magufuli angeonyeshwa tani ya karatasi na kuulizwa kama bado anakataa kuwa Magufuli si mwepesi 😅😅

(Neno karatasi halina wingi)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…