Kaitampunu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 2,092
- 886
Muulize ngichi mwenyewe.SHIDA MAWAKILI WANAKUULIZA MASWALI YA KUUDHI ILI UCHUKIE SASA MASWALI GANI HAYO KUMUULIZA MTU?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize ngichi mwenyewe.SHIDA MAWAKILI WANAKUULIZA MASWALI YA KUUDHI ILI UCHUKIE SASA MASWALI GANI HAYO KUMUULIZA MTU?
Ngichi huyu hapa anasema wewe ni muongo yupo kazini!Baada ya kutoka hapo inasemekana Ngichi aliomba Lidandasi
Hahahahah maswali ya akili mnemba 😂SHIDA MAWAKILI WANAKUULIZA MASWALI YA KUUDHI ILI UCHUKIE SASA MASWALI GANI HAYO KUMUULIZA MTU?
KIBATALA: Unawezaje kufungua mashtaka kwa mambo ambayo hata wewe hujui?😂KIBATALA: Unadai Mbowe alisema Jacob Zuma alilazimishwa kujiuzulu. Je ni kweli au si kweli?
SSP Ngichi: Sifahamu
KIBATALA: Unadai Mbowe alisema Mugabe aling'olewa madarakani. Je ni kweli Mugabe aling'olewa au hakung'olewa?
SSP Ngichi: Sijui
KIBATALA: Unawezaje kufungua mashtaka kwa mambo ambayo hata wewe hujui?
Kwani kibatala katuma upige promo any way ngichi yupo hapa anakunywa chai!Wewe ni Ngichi ama amekutuma umjibie?
Unbeatable combination
Umemchemshia chai?Kwani kibatala katuma upige promo any way ngichi yupo hapa anakunywa chai!
Maswali utaulizwa kulingana na wasifu wako.Watu wanakuwa wameshacheza na akili zako kwa njia ya teleportation.Kamkuta huyo askari wenyewe poyoyo tu.
Kibatala cuma nyotco walahiSehemu ya mahojiano ya Wakili Msomi Peter Kibatala na Mkuu wa upelelezi Mkoa wa kipolisi Kinondoni, SSP Gerald Ngichi kuhusu kesi nambari 112 ya Mwaka 2018 iliyowahusu Freeman Mbowe na wenzake.
KIBATALA: Umesema Freeman Mbowe aliondolewa kwenye Mkutano na walinzi wake?
SSP Ngichi: Ndio
KIBATALA: Unawajua walinzi wa Mbowe?
SSP Ngichi: Siwafahamu.
KIBATALA: Sasa uliwezaje kuwatambua kuwa ni walinzi wake?
SSP Ngichi: Walikuwa wakimsaidia
KIBATALA: Kwahiyo kila anayemsaidia Mbowe ni mlinzi wake?
SSP Ngichi: Kimya.
KIBATALA: Mbowe alisema hatupaswi kuona kawaida wenzetu kunyongwa hadi kuuawa. Je unajua alikua anamaanisha nini?
SSP Ngichi: Hapana
KIBATALA: Kwahiyo Mbowe yupo sahihi?
SSP Ngichi: kimya
KIBATALA: Umesema Mbowe alisema kuwa haiwezekani wanaume wazima kama sisi tugeuzwe mandondocha. Je kuna tatizo gani kwenye maneno hayo?
SSP Ngichi: Huo ni uchochezi
KIBATALA: Wewe ni mwanaume au mwanamke?
SSP Ngichi: Mwanaume?
KIBATALA: Je uko tayari kugeuzwa ndondocha?
SSP Ngichi: Hapana
KIBATALA: Kwahiyo Mbowe yupo sahihi?
SSP Ngichi: Kimya
KIBATALA: Unadai Mbowe alisema Jacob Zuma alilazimishwa kujiuzulu. Je ni kweli au si kweli?
SSP Ngichi: Sifahamu
KIBATALA: Unadai Mbowe alisema Mugabe aling'olewa madarakani. Je ni kweli Mugabe aling'olewa au hakung'olewa?
SSP Ngichi: Sijui
KIBATALA: Unawezaje kufungua mashtaka kwa mambo ambayo hata wewe hujui?
SSP Ngichi: Sifuatilii vyombo vya habari.
KIBATALA: Unadai Mbowe alisema Rais Magufuli ni Mwepesi kama Karatasi?
SSP Ngichi: Ndio
KIBATALA: Maneno hayo yana shida gani?
SSP Ngichi: Magufuli sio mwepesi kama karatasi
KIBATALA: Wewe unaufahamu uzito wa Magufuli?
SSP Ngichi: Magufuli yupi?
KIBATALA: Magufuli aliyeandikwa kwenye hati ya Mashtaka
SSP Ngichi: Simjui
KIBATALA: Kwahiyo kwenye hati ya mashtaka mmeandika watu msiowafahamu?
SSP Ngichi: Aulizwe askari aliyeandika hiyo hati
KIBATALA: Kama wewe humfahamu kwanini unakataa kuwa si mwepesi kama karatasi?
SSP Ngichi: Kimya
Huyu SSP ana akili. Angekubali kumjua Magufuli angeonyeshwa tani ya karatasi na kuulizwa kama bado anakataa kuwa Magufuli si mwepesi 😅😅Sehemu ya mahojiano ya Wakili Msomi Peter Kibatala na Mkuu wa upelelezi Mkoa wa kipolisi Kinondoni, SSP Gerald Ngichi kuhusu kesi nambari 112 ya Mwaka 2018 iliyowahusu Freeman Mbowe na wenzake.
KIBATALA: Umesema Freeman Mbowe aliondolewa kwenye Mkutano na walinzi wake?
SSP Ngichi: Ndio
KIBATALA: Unawajua walinzi wa Mbowe?
SSP Ngichi: Siwafahamu.
KIBATALA: Sasa uliwezaje kuwatambua kuwa ni walinzi wake?
SSP Ngichi: Walikuwa wakimsaidia
KIBATALA: Kwahiyo kila anayemsaidia Mbowe ni mlinzi wake?
SSP Ngichi: Kimya.
KIBATALA: Mbowe alisema hatupaswi kuona kawaida wenzetu kunyongwa hadi kuuawa. Je unajua alikua anamaanisha nini?
SSP Ngichi: Hapana
KIBATALA: Kwahiyo Mbowe yupo sahihi?
SSP Ngichi: kimya
KIBATALA: Umesema Mbowe alisema kuwa haiwezekani wanaume wazima kama sisi tugeuzwe mandondocha. Je kuna tatizo gani kwenye maneno hayo?
SSP Ngichi: Huo ni uchochezi
KIBATALA: Wewe ni mwanaume au mwanamke?
SSP Ngichi: Mwanaume?
KIBATALA: Je uko tayari kugeuzwa ndondocha?
SSP Ngichi: Hapana
KIBATALA: Kwahiyo Mbowe yupo sahihi?
SSP Ngichi: Kimya
KIBATALA: Unadai Mbowe alisema Jacob Zuma alilazimishwa kujiuzulu. Je ni kweli au si kweli?
SSP Ngichi: Sifahamu
KIBATALA: Unadai Mbowe alisema Mugabe aling'olewa madarakani. Je ni kweli Mugabe aling'olewa au hakung'olewa?
SSP Ngichi: Sijui
KIBATALA: Unawezaje kufungua mashtaka kwa mambo ambayo hata wewe hujui?
SSP Ngichi: Sifuatilii vyombo vya habari.
KIBATALA: Unadai Mbowe alisema Rais Magufuli ni Mwepesi kama Karatasi?
SSP Ngichi: Ndio
KIBATALA: Maneno hayo yana shida gani?
SSP Ngichi: Magufuli sio mwepesi kama karatasi
KIBATALA: Wewe unaufahamu uzito wa Magufuli?
SSP Ngichi: Magufuli yupi?
KIBATALA: Magufuli aliyeandikwa kwenye hati ya Mashtaka
SSP Ngichi: Simjui
KIBATALA: Kwahiyo kwenye hati ya mashtaka mmeandika watu msiowafahamu?
SSP Ngichi: Aulizwe askari aliyeandika hiyo hati
KIBATALA: Kama wewe humfahamu kwanini unakataa kuwa si mwepesi kama karatasi?
SSP Ngichi: Kimya
Nadhani alibembelezwa ili asiweke mpira kwapaniNgichi huyu hapa anasema wewe ni muongo yupo kazini!
kwahiyo ni sahihi kwamba serikali ya ccm inawaajiri mapoyoyo kuwalinda raia na mali zaoKamkuta huyo askari wenyewe poyoyo tu.