Kibatala tena

Kibatala tena

Hapo sheria iko wapi, hiyo ni common sense tu, anapataga majinga. Kibatala wa kawaida tu namfahamu tangia anasoma Mzumbe, acheni sifa za kijinga
Acha ubishi usio na maana. Mtu anaaminiwa kupewa kesi kubwa na anashinda wewe unaleta wivu wako.

Kwenye sheria hakuna maswali ya kawaida kila swali lina uzito wake na linaweza kumuondolea mtu attention ama confidence na akapoteza kesi.

Wewe unadhani cross examination, examination in chief na re examination ni maswali ya kisheria yale?

Sisi tuliopo kwenye profession ya sheria ndiyo tunajua anachokifanya Kibatala wewe bush lawyer baki huko huko kuwadanganya vilaz,a wenzako.
 
Back
Top Bottom