Wakati wa uhai wa Baba wa taifa JK Nyerere RIP kulikuwa na uvumi kuwa na maziwa ndani ya kibuyu ambayo yalikuwa hayagandi. Kwa namna hiyo hiyo nasikia kuna mtu kashikilia kibatari cha Kikwete na karibu kitazimika kutokana na upepo wa kisiasa ya kweli hayo.Tujulishane.