Kibegi cha Jezi chatua Horombo kuelekea Kibo, mlipuko ni kesho

Kibegi kina UMAARUFU mkubwa mno.

1. Kimefunika SAJILI zote.

2. Kimefunika week ya Wananchi na Bado siku 1.

3. Kimefunika Hadi ishu ya DP world.

Nitauomba uongozi WA Simba Kibegi kiuzwe kwenye maduka pamoja na JEZI Angalau pea 3.
Kikiuzwa laki 20,0000/=
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…