Kibegi cha Jezi chatua Horombo kuelekea Kibo, mlipuko ni kesho

Kibegi cha Jezi chatua Horombo kuelekea Kibo, mlipuko ni kesho

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Ins52160607660_f631b91c9e5b4e6dbaa5ed36a329e9cf_362033605_531656565752493_8537417144215679891_n.jpg

Ins52160607660_2717a5a33e4844aa9562ea7960eec812_362315667_156227350812441_3737966032628019668_n.jpg


Wapanda milima mashabiki wa Simba wakiendelea na safari kutoka Horombo kuelekea Kibo.
 
Kibegi kina UMAARUFU mkubwa mno.

1. Kimefunika SAJILI zote.

2. Kimefunika week ya Wananchi na Bado siku 1.

3. Kimefunika Hadi ishu ya DP world.

Nitauomba uongozi WA Simba Kibegi kiuzwe kwenye maduka pamoja na JEZI Angalau pea 3.
Kikiuzwa laki 20,0000/=
 
Back
Top Bottom