Kibegi cha Simba (jezi) kinatrend kuliko usajili wa Yanga

Been there doing that
IMG-20230720-WA0013.jpg
 
Bado hata haijulikani jezi ipoje ila kibegi tangu itoke Dar es Salaam inatrend kuliko usajili wa Yanga na siku ya mwananchi.

Kibegi kimezima hata kuhama kwa Mayele ,je Simba day itakuwaje kama kibegi ndo inatrend!
nikama demu wako anavyo trend kwa kubatuliwa
 
Bado hata haijulikani jezi ipoje ila kibegi tangu itoke Dar es Salaam inatrend kuliko usajili wa Yanga na siku ya mwananchi.

Kibegi kimezima hata kuhama kwa Mayele ,je Simba day itakuwaje kama kibegi ndo inatrend!
🤣🤣
 
Hahahaha 😂 😂 😂 😂 😂 mikia bwana, kibegi kinaenda kushushwa kombe linapanda.
 
Back
Top Bottom