Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,395
aisee kwa muonekano huo, kibera ina stahili kuwa largest slums in africa250,000 imekua 2m![emoji23] [emoji23] [emoji12] porojo na propaganda za mitandao zitawauwa!., 60% of Nairobi's population lives in Eastlands, Kibera iko southlands!,. how now broda?., zoea hali yenyu ya LDC, Dar ni 90% slummish, substandard housing! rekebisha hii [emoji116] [emoji116] kwanza. Hata haiwezekani because inapanuka kila uchao!!!
View attachment 817020
Nimeishi Kibera mwaka 2000 napamisiSerikali ya Kenya, imeamua kuyavunja makazi ya Kibera nchini humo ili kujenga barabara.
Zaidi ya wakazi 20,000 wamekosa makazi. Hakuna fidia wala msaada kwa waathirika.
Haya kila la heri majirani
[] [YouTube] is good,have a look at it!
Kibera bado iko top of slums in the world,congrats majiraniWacha kufikiria na m*KUNDU
View attachment 816866
Mode hebu rekebisha hiyo heading. Inatakiwa iwe nairobi demolished. Maana kinera is the landmark if nairobiSerikali ya Kenya, imeamua kuyavunja makazi ya Kibera nchini humo ili kujenga barabara.
Zaidi ya wakazi 20,000 wamekosa makazi. Hakuna fidia wala msaada kwa waathirika.
Haya kila la heri majirani
[] [YouTube] is good,have a look at it!
So if i go and live on govt land the govt should compensate me?The government should have compensated these people. A government that does not care about it's poor people does not deserve any respect. Whether it was government land or not, whether notice was given or not; these people should have been compensated out of goodwill. On this one this government imeniangusha vibaya sana. I feel for those poor people. I can only pray for them.
this road was completed long time ago! Eastlands Nairobi where 60% of Nairobi's population stays.View attachment 817021View attachment 817023View attachment 817025
Wacha upuzi.Hio ni part ndogo sana ya Nairobi.Hata haistahili kuwa apo.Ni kama una shares mahala hapoMode hebu rekebisha hiyo heading. Inatakiwa iwe nairobi demolished. Maana kinera is the landmark if nairobi
Kibera mtabaki nayo hadi mileleYes. Kibera is No more...... Tandale Je? ??