Kibera demolished

Kibera demolished

250,000 imekua 2m![emoji23] [emoji23] [emoji12] porojo na propaganda za mitandao zitawauwa!., 60% of Nairobi's population lives in Eastlands, Kibera iko southlands!,. how now broda?., zoea hali yenyu ya LDC, Dar ni 90% slummish, substandard housing! rekebisha hii [emoji116] [emoji116] kwanza. Hata haiwezekani because inapanuka kila uchao!!!
View attachment 817020
aisee kwa muonekano huo, kibera ina stahili kuwa largest slums in africa
 
images


Kibera ni sector kubwa tu ya utalii wa slums
Nairobi kuna zaidi ya slums 15
 
Kibra ni part ndogo sana ya Nairobi, yenye mimi mwenyewe sijazuru
Nataka kieleweke kwamba, wenye kuishi humo wengi wao ni kujitakia kwa maana maisha ni ya gharama ya chini.
Kuna wanaoishi pale na wako na uwezo kifedha hata kuniliko mimi na pia wengi wenu mnao hara kwa midomo chenu hapa.

Cha msingi ni, sio wote wanaoishi kibera ni maskini, wengi wao huwa hata na kazi nzuri mjini.

Walipewa option ya apartment but wakalikataa
Ni hayo tu kwa sasa.
Tembea kenya huwe na opinion yako na wala sio kuskiza na kutazama selective info from jounalists out to make money
 
Serikali ya Kenya, imeamua kuyavunja makazi ya Kibera nchini humo ili kujenga barabara.

Zaidi ya wakazi 20,000 wamekosa makazi. Hakuna fidia wala msaada kwa waathirika.

Haya kila la heri majirani
[] [YouTube] is good,have a look at it!
Nimeishi Kibera mwaka 2000 napamisi
 
Serikali ya Kenya, imeamua kuyavunja makazi ya Kibera nchini humo ili kujenga barabara.

Zaidi ya wakazi 20,000 wamekosa makazi. Hakuna fidia wala msaada kwa waathirika.

Haya kila la heri majirani
[] [YouTube] is good,have a look at it!
Mode hebu rekebisha hiyo heading. Inatakiwa iwe nairobi demolished. Maana kinera is the landmark if nairobi
 
Hii inanikumbusha uandishi wa Ngugi Wa Thiong'o wa This Time Tomorrow.
 
The government should have compensated these people. A government that does not care about it's poor people does not deserve any respect. Whether it was government land or not, whether notice was given or not; these people should have been compensated out of goodwill. On this one this government imeniangusha vibaya sana. I feel for those poor people. I can only pray for them.
So if i go and live on govt land the govt should compensate me?
 
Mode hebu rekebisha hiyo heading. Inatakiwa iwe nairobi demolished. Maana kinera is the landmark if nairobi
Wacha upuzi.Hio ni part ndogo sana ya Nairobi.Hata haistahili kuwa apo.Ni kama una shares mahala hapo
 
Back
Top Bottom