Kibera itapendeza, Kibera oyee

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
12,938
Reaction score
6,942
Wana bodi,

Nchi maskini na watu masikini wapatao 12,000 wa Kenya, watanufaika na mabanda 6000 yenye uwezo wa kibeba watu wawili wawili yatakayo gawiwa na china mara baada ya mashindano ya kombe la dunia kumalizika.

Ndugu zetu wa kibera watanufaika kwa mpango huu maana ndio hawana mahali pa kuishi huko Kenya nchi maskini

 
Sisi Tanzania ni Matajiri, Hatutaki hiyo misaada ya Mabeberu
 
Sisi Tanzania ni Matajiri, Hatutaki hiyo misaada ya Mabeberu
Am sorry to say hii statement haikuwa na ulazima wa kuandika hapa.

misaada inapokelewa hasa ya fedha, mikopo kila kukicha.
 
Watu wawili? Subiri vifike uone watakavyokaa watu kumi kila kibanda
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ΆπŸ˜πŸ€¨πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…