Kibibi Kizee cha Turin Vs Man Utd

Come back za United tangu ile ya united vs city,United vs Brighton na ya jana ikifika dk ya 80 nacheza live at full time Sport Pesa,United kushinda alipewa points 29
Uliweka sh ngap?
 
-allegri amefungishaje?

Hivi uta approach vipi defensive play against timu kilaza kama Man Utd? Baada ya ya kupata goli kaengeza beki ya kati nyuma wakawa wa5. Beki wakireno kamueka nje kamchezesha mchezaji bomu kabisa kwa kutegemea atakua analinda zaidi.
Huwezi kuwa na squad kama ya Juventus halafu bado ukawa unacheza mpira wa kuvizia na hasa unapocheza na timu vilaza Kama Man Utd walivo saivi. Kama wangelikutana na Barca Man Utd wangelipigwa kuanzia 4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…