Kibibi Kizee cha Turin Vs Man Utd

Kibibi Kizee cha Turin Vs Man Utd

-allegri amefungishaje?

Hivi uta approach vipi defensive play against timu kilaza kama Man Utd? Baada ya ya kupata goli kaengeza beki ya kati nyuma wakawa wa5. Beki wakireno kamueka nje kamchezesha mchezaji bomu kabisa kwa kutegemea atakua analinda zaidi.
Huwezi kuwa na squad kama ya Juventus halafu bado ukawa unacheza mpira wa kuvizia na hasa unapocheza na timu vilaza Kama Man Utd walivo saivi. Kama wangelikutana na Barca Man Utd wangelipigwa kuanzia 4.
 
Back
Top Bottom