Kibibi kizee cha Turin

This tym hamwezi kuchomoka. Naapa mbuzi aning'ate mkichomoka hapa Barcelona mabingwa.

Ha ha ha haaa haya bana 072, pale namuogopa Dybala zaidi...lakn all in all ushindi ni wetu trust me mkuu, msije mkasema 2mebebwa tena kama yale ya psg mka2zushiaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Black panter barc wanasubiri wabebwe nyumbani ndio washinde sasa Juve nawaamini sana kwa kuwa na ulinzi mzuri miaka mingi ulinzi bora wanazingatia sana sasa hivi wana ulinzi na forward bora ndio maana wanashinda hata zaidi yako goli moja miaka ya nyuma Real Madrid walikua wanatolewa kwa sare Santiago na goli moja wanashinda Tulin..
 
Mkuu hubahatishi unaweza hisi labda ulikuwa jirani wa Massimo Moratti
 
Ha ha ha haaa haya bana 072, pale namuogopa Dybala zaidi...lakn all in all ushindi ni wetu trust me mkuu, msije mkasema 2mebebwa tena kama yale ya psg mka2zushiaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Nadhani hujamuelewa @zeroseventytwo hajasema hamtashinda ila kasema hampiti..mnaweza mkashinda 2-0 mkatoka ..au mnaweza kushinda 3-0 zikapigwa penalty mkatoka..

Nadhani umenielewa mkuu..

Mi naisubiri Liverpool Yangu Irudi UCL.
 
Wakati wewe unaisubiria liverpool fc warudi champions league, mimi nawasubiria chama langu rossoneri (ac milan) irudi kwenye Uefa champions league.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…