Kibibi kizee cha Turin

Kibibi kizee cha Turin

This tym hamwezi kuchomoka. Naapa mbuzi aning'ate mkichomoka hapa Barcelona mabingwa.

Ha ha ha haaa haya bana 072, pale namuogopa Dybala zaidi...lakn all in all ushindi ni wetu trust me mkuu, msije mkasema 2mebebwa tena kama yale ya psg mka2zushia😀😀😀
 
Black panter barc wanasubiri wabebwe nyumbani ndio washinde sasa Juve nawaamini sana kwa kuwa na ulinzi mzuri miaka mingi ulinzi bora wanazingatia sana sasa hivi wana ulinzi na forward bora ndio maana wanashinda hata zaidi yako goli moja miaka ya nyuma Real Madrid walikua wanatolewa kwa sare Santiago na goli moja wanashinda Tulin..
 
Kuhusu Juve,hiyo nickname ni ya kihistoria mkuu.
Hiyo timu ilianzishwa na wanafunzi,ikaitwa Juventus(vijana).Baadae ilianza kuvuma na kupata mashabiki wengi wahamiaji kule southern Italy ambao waliita "mchumba wa Italy" kutokana na kupendwa na mashabiki wengi zaidi ya timu nyingine Italia.
Miaka ya 1920's hadi 30's ilipochukuliwa na akina Agnelli,ndipo watu wakaiita bibi kizee,kwanza sababu ya ukoo wa Agnelli ambao ni wa siku nyingi huko Italy ambao uliitwa (vecchios signores(old gentlemen),pili sababu katika miaka hiyo Juve iling'ang'ania wachezaji wake mastaa ambao walicheza hadi umri mkubwa,hivyo timu hii ya vijana ikaanza kuwa na wachezaji wenye umri mkubwa tofauti na jina lao la Juve.
Tatu , Italia wana utamaduni wa kumheshimu sana mwanamke mzee,hivyo kuiita Juve jina la kibibi ni kama heshima fulani kwa timu hii ya siku nyingi nchini Italia.
Mkuu hubahatishi unaweza hisi labda ulikuwa jirani wa Massimo Moratti
 
Ha ha ha haaa haya bana 072, pale namuogopa Dybala zaidi...lakn all in all ushindi ni wetu trust me mkuu, msije mkasema 2mebebwa tena kama yale ya psg mka2zushia😀😀😀
Nadhani hujamuelewa @zeroseventytwo hajasema hamtashinda ila kasema hampiti..mnaweza mkashinda 2-0 mkatoka ..au mnaweza kushinda 3-0 zikapigwa penalty mkatoka..

Nadhani umenielewa mkuu..

Mi naisubiri Liverpool Yangu Irudi UCL.
 
Nadhani hujamuelewa @zeroseventytwo hajasema hamtashinda ila kasema hampiti..mnaweza mkashinda 2-0 mkatoka ..au mnaweza kushinda 3-0 zikapigwa penalty mkatoka..

Nadhani umenielewa mkuu..

Mi naisubiri Liverpool Yangu Irudi UCL.
Wakati wewe unaisubiria liverpool fc warudi champions league, mimi nawasubiria chama langu rossoneri (ac milan) irudi kwenye Uefa champions league.
 
Back
Top Bottom