Kibiblia mwanamke yoyote ukimkuta hana bikra huyo si mke wako

Biblia siô muongozo wa kîla MTU hiyo ndîo hoja.
Kwa wanaofuata Biblia basi Lusekelo yupo Sahihi Kwa asilimia Mia Moja.

Kwa wasioifuata Biblia inategemeana wàpo watakaomuona yu Sahihi kama tamaduni na Mila zào zimefanana na Biblia Katika kipengele hicho.

Kwa Watibeli Bikra NI muhimu
 
Bikra kwa mtu kwenye D mbili huwa haina maana yoyote ile.
Tena ukikuta njia pana haina mikwaruzo si ndo vzr shekh - kuteleza tu
 
Ukombozi wa kumuhalalisha uliyemkuta hana bikira unakuja pale unapompiga pumbu anapata mimba wakati wa kujifungua anamwaga damu zaidi.
 
Nani anajali tena hicho kitabu cha muongozo wa wazungu wa Karne ya 1 huko?
Tuna tamaduni zetu za kikabila, kitanzania na kiafrika, zina miongozo ya kufuata inayotosha
UKRISTO haujawahi kulazimisha kuufuata ila kobazini ndiko kuko hivyo.
 
Baba yako alimkuta mama yako bikra??wewe umemkuta mke wako bikra??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…