Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Tuyaishi maandikoWanawake mnataka muelewe na wanaume wengi nendeni tena Beijing basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuyaishi maandikoWanawake mnataka muelewe na wanaume wengi nendeni tena Beijing basi
Aikoo nakuunga mkono anahoja asikilizwe.Anahoja inabidi asikilizwe
Asilimia kubwa za wanawake walioko kwenye ndoa hujikumbushia penzi na wale waliowatoa bikra zao ujanani mwao endapo tu walitengana Kwa wema .
Mkuu..nakushauri usome kuhusu Crusades! Wakristu nao wameshawahi kulazimisha watu kuwa kuachana na tamaduni zao na kufuata ukristo.UKRISTO haujawahi kulazimisha kuufuata ila kobazini ndiko kuko hivyo.
Nabii wa Mungu amechelewa sana kuyatoa haya maelekezo na mapenzi ya MunguTuyaishi maandiko
Akili zako sasa 😂😁😁!
Kwa maana hiyo bikra siyo big deal...Akili zako sasa 😂😁😁!
Aolewe na kitako hapo wanaume wameisha???
Acha hizoooooo lo
Akili zako unazijua mwenyewe lo
Kwani ameoa lini huyo mzee wa bapa?lusekelo mwenyewe mkewe hakumkuta bikra. kwahiyo hakuoa?
ana mke, alikuwa anatangaza tbc kipindi fulani.Kwani ameoa lini huyo mzee wa bapa?
Una vuna dhambi Bure kwa Mungu/miungu unayoiabudu kwa kuandika uongo.Mkuu..nakushauri usome kuhusu Crusades! Wakristu nao wameshawahi kulazimisha watu kuwa kuachana na tamaduni zao na kufuata ukristo.
Huku kwetu, wa missionary walijenga shule na hospitali ambazo huwezi kupata huduma zake kama wewe si mkristu.
Usisahau kuhusu assimilation policies.
Of course waislamu na War lord wao wanayemuita mtume wamefanya majanga zaidi ila haifuti maasi ya wakristu wa enzi hizo.
Cha msingi, tunamke na kuthamini mila, imani na tamaduni zetu ambazo hazina madhara kwetu.