Duh....Yesu alikuwa Muislamu?? basi na kina Ariel Sharon,Benyamin Netanyahu ni Waislamu wenzenu jamani......,maana nao wanasujudu kwenye dini yao ya kiyahudi(Judaism)!!
UKWELI NI KUWA.....Yesu alizaliwa Myahudi wa kabila la Yuda,na kama Wayahudi wa leo,walikuwa wanaabudu katika dini ya Kiyahudi kama Ibrahimu, Isaka, Yakobo baba zao na baba zetu Wakristo kwa ahadi,na Ndiyo maana YESU alisema WOKOVU UNATOKA KWA WAYAHUDI
Refer John 4:22 You worship what you do not know; we worship what we know, for salvation is from the Jews.
John 4:31 Meanwhile the disciples were urging him, saying, Rabbi, eat. 32 But he said to them, I have food to eat that you do not know about.
Rabbi is the jewish spiritual teacher, the same as Chief Ashkenazi Rabbi of Israel today, Yona Metzger,
Jamani msikariri tu kwenye mihadhara ya watu wasiojua kusoma na wasiojua dunia inavyokwenda,hapa tupo JF,...msilete story za kwenye kahawa.