kiboko wa kurepea pressure cooker zilizotoboka vulve.

Njoo tukurebishie matatizo ya aina zote ya pressure cooker, kwa maelezo zaidi piga simu 0684017700. Au tembelea dukani
Bombaywalla Appliance Repair na service, pale usoni na libya post office/ furniture centre , karibu na kituo cha mwendokasi kisutu

Pia tunarekebisha microwave, blenda, pasi, birika, rice cooker,pressure cooker, juicer..nk, njoo tukurekebishie za kwako, usiweke stoo vitu vyako

facebook.com/bombaywallla
instagram: @fundi_dsm
 
Inabidi niwe mjasiriamali wa kununua vitu vibovu eg blenda, pressure cooker, juicer, pasi, fan, fridge, BP Machine, Incubators, Microwaves etc then navitengeneza kwenu halafu navirudisha sokoni kama used items naona tutatengeneza kitu hapo!
 
Wazo zurii lakini electronic device used ambazo ziliharibika mpaka Mbongo akaamua Kuitupaa AISEEEEE[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jua gharama za kuitengeneza zinafanana na gharama ile aliyonunulia...otherwise sio mtu wa Njaa sana atalitupa tu stoo...!!
 
Wazo zurii lakini electronic device used ambazo , ziliharibika mpaka Mbongo akaamua Kuitupaa AISEEEEE[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jua gharama za kuitengeneza zinafanana na gharama ile aliyonunulia...otherwise sio mtu wa Njaa sana atalitupa tu stoo...!!

Mkuu kwa jinsi alivyoelezea yaelekea bei zao sio mbaya, mie peke yangu nina P/Cooker 2 mbovu, Pasi mbovu, E/Kattle mbovu na kuzitupa nilikuwa nashindwa kwani ukiviangalia bado ni vipya ..sasa fikiria ni wangapi wana vitu hivyo majumbani mwao na ukizingatia sie wazee huwa hatutupi kitu?
 
So wewe kikiharibika hutengenezi tena???? Point yangu ni kuwa wabongo asilimia kubwa ukiona ananunua kitu kipya na hata kutengeneza kilichoharibika jua gharama za kukitengeneza ni kubwa.. Lakini labda mafundi huwa wanatuibia sometimes japo matatzo mengine ni kuungua Vifaaa ambavyo kweli Ni gharama... So hivyo tu
 
Sawa mkuu Riki na mie nimeangalia wapi tulikotoka kwani vitu hivi vingi huko nyuma mafundi hawakuwepo lakini leo mafundi wengi wapo hivyo tunaweza kutengeneza vifaa tulivyokuwa tumekata tamaa navyo. au unataka kuni overtake ktk hiyo project yangu?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana mkuu sina huo mpango...Labda uufanye kitekinolojia zaidi maana Kukusanya huwa wanapita mtaani watu wanunua na kuulizia vitu vibovu... So modify njia ya kukusaya hizo bidhaa...!!
 
Unafikiri wanaopita mtaani na microphone kununua pesa/noti zetu mbovu au Dollar ni wao wanazitaka?
 
Njoo tukurebishie matatizo ya aina zote ya pressure cooker, kwa maelezo zaidi piga simu 0684017700. Au tembelea dukani
Bombaywalla Appliance Repair na service, pale usoni na libya post office/ furniture centre , karibu na kituo cha mwendokasi kisutu

Pia tunarekebisha microwave, blenda, pasi, birika, rice cooker,pressure cooker, juicer..nk, njoo tukurekebishie za kwako, usiweke stoo vitu vyako

facebook.com/bombaywallla
instagram: @fundi_dsm
Nilishakuja na ukanirekebishia iko bomba inapiga mzigo
 
Back
Top Bottom