Kiboko ya Ali Kamwe, RC Paulo Chacha alitikisa bunge, Wabunge wapagawa na kumpigia makofi mazito

Kiboko ya Ali Kamwe, RC Paulo Chacha alitikisa bunge, Wabunge wapagawa na kumpigia makofi mazito

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Akitambulishwa bungeni na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paulo Chacha anayepewa sifa ya kuwa 'kiboko ya Ali Kamwe' amelitikisa Bunge baada ya kusimama, ambapo Wabunge walipagawa kwa furaha na kumpigia makofi mazito, ishara ya kukumbuka tukio lake na Msemaji wa Yanga SC lililovuta hisia za wadau wa Soka.

 
kuna bunge wapi? tanzania? kusanyiko la wagonga meza....
 
Bunge linasifiwa kwa kupiga makofi baadae tunakuja kulalamika sijui maji yameuzwa..
 
Upuuzi kama upuuzi ndio unapewa kipaumbele!!Sijui mambo ya msingi yatapewa lini kipaumbele
 
Back
Top Bottom