Kiboko ya mtoto anayelia lia hovyo kama zezeta au kulilia vitu vya watu

Nimekupenda sana kwa sababu unapenda watoto!
 
Lakini hili la kumjengea mtoto hofu ya sindano uoni linaweza leta changamoto siku mtoto akitakiwa achomwe sindano.
 
Hiyo ya sindano inafanya kazi kwelikweli. Wangu ana miaka 2 na miez 3 alikuwa hapend kula na kulia kulia tu bila sababu Sasa kuna siku akaumwa akavhomwa x pen alilia sana, nikaja kununua Bomba akilia au kukataa kula namtishia ahahaha kaounguza mbona
 
Nyingine mtaftie mdogowake haraka Mana likiwa pekeake Kama huyo linabaki na uselfish
 
Shida yote hiyo ya nini, kuanza Jules atoto wa watu ili kukomaza wa kwako? Au kununua Bomba la sindano? Tembeza kibano kwa mtoto atanyooka kama rula, ukubwani atakushukuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…