kiboko ya paulina

Joined
Aug 20, 2013
Posts
49
Reaction score
5
Habari zenu bandugu! Tafadhali naomba kuuliza kama kuna ukweli wowote kuhusu haya matangazo yanayohusu kuongeza uume na nguvu zake kama hili la kiboko ya paulina! Kama kuna ukweli ni nini madhara yake kiafya? Je ni kweli kila mwanamke anatoshelezwa na dushelele kubwa? Kwani ukikitumia vizuri Kibamia chako hakiwezi kukufaa? KARIBUNI
 
viagra ni mbaya sana dogo,uongeze ili iwe nini?hivi unamjua kipa wa REAL MADRID au kaseja?wao ni wafupi na miili midogo ila ndio makipa bora sasa wewe tafuta unachotafuta utakipata
 
Kula vzr vyakula vya asili na sio artificial then kunywa maji mengi.Akili iwe saf sio stress kibao km mpaka leo haujapata salary ya sept.Charger ni muhimu sn kwan zinarutubisha vzr na kuwa na nguvu za kutosha.Achana na madawa ya kuongeza nguvu kwan after 5yrs jogoo linakuwa doroooo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…