King Jaja of Opobo
Member
- Aug 20, 2013
- 49
- 5
Habari zenu bandugu! Tafadhali naomba kuuliza kama kuna ukweli wowote kuhusu haya matangazo yanayohusu kuongeza uume na nguvu zake kama hili la kiboko ya paulina! Kama kuna ukweli ni nini madhara yake kiafya? Je ni kweli kila mwanamke anatoshelezwa na dushelele kubwa? Kwani ukikitumia vizuri Kibamia chako hakiwezi kukufaa? KARIBUNI