Tangu enzi ni biashara. Sema kwa sasa imepanuka zaidi kutoka kwenye taasisi kama ilivyokuwa imezoeleka awali hadi mtu mmoja mmoja ambapo ndipo utapata majina ya nabii, kuhani, mtume n.k.
Serikali ya Tanzania imefunga huduma za huyu tapeli kwa kuhakikisha kuwa uchunguzi wao ulikuwa sahihi na sio wa kubahatisha
Mwandishi wa Mwananchi amethibitisha utapeli wa mkosefu huyu akiwa Congo kwa kuigiza kuwa anaumwa
Ni dhahiri kuwa tapeli huyu anaendelea kuumiza watu wanaoendelea kumfuata jambo ambalo linatoa tafsiri ya kuwa nchi ya Congo aliyozaliwa inapaswa kumwadhibu pia ili kudhibiti uhalifu huu View: https://youtu.be/lcHdO51XVbk?si=MVQIZQeJ2u-p8TLU