Nyaka-One
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 4,730
- 6,736
Tangu enzi ni biashara. Sema kwa sasa imepanuka zaidi kutoka kwenye taasisi kama ilivyokuwa imezoeleka awali hadi mtu mmoja mmoja ambapo ndipo utapata majina ya nabii, kuhani, mtume n.k.Dini siku hizi imekuwa biashara wananchi kuweni makini