Kiboko ya Wachawi alikosa connection ama connection ilipigwa ngeta?

Fredick Sumaye aliyekuwa waziri mkuu wa Mkapa aliwahi kusema.. Ukitaka mambo yako yanyooke jiunge na CCM
Je kiboko ya wachawi hakuzingatia huu ushauri?

Pamoja na sababu zote zitakazosemwa ku justify kifungo chake bado kuna wenzake waliotenda mabaya zaidi na bado wanadunda kwa raha zao
Kuna kitu kisicho cha kawaida sana kwenye hili.. Kifungo chake kimekuja baada ya kutokea tenguzi na teuzi.. Je ni coicedence tu ama kuna mambo yanalandana?

Unajua haya mambo ni connection, ni kushikana mikono, ni nipe nikupe. Viongozi wote wa kisiasa wana 'ma baba wao wa kiroho' ama viongozi wa kidini..

Hawa watu wamebeba siri nyingi sana za wanasiasa kwakuwa wameaminiwa na wao na wanawasaidia mambo yao mengi ya kiroho yaliyojaa ulozi na ushirikina mkubwa kwa kivuli cha dini

Hawa viongozi wa kisiasa huwabeba na kuwalinda hawa wana dini kwa gharama kubwa mno lakini za kificho

Sasa hawa matapeli wa kidini huwa ni watembelea fursa na huwa hawawi na chanzo kimoja cha fursa. Fursa huleta sadaka nnono
Fursa huwatambulisha sehemu muhimu

Fursa huwapa nafasi ya kuheshimika na kutambulika
Fursa ni fursa .. Fursa fursana!!

Wajanja wanajua madhara ya kuwa na fursa chache.. Kuna leo kuna kesho.. Zikiondoka fursa mbali hakikisha unazo tatu kibindoni ili kujihakikishia ulinzi, connection na mapato

Kiboko ya wachawi ana mengi ya kusimulia.. Tuupe muda wakata.. Huu ni mwaka wa uchaguzi, vita vya wanasisa vinasambaa mpaka kwa 'View attachment 3055379mafundi'
Mm mwenyewe nimejiuliza nikakosa majibu maana mambo anayoyafanya Mwamposa na huyo kiboko ya wachawi hakuna tofauti ndio hayo hayo waliyoyafanya Kakobe,Gwajima wakati wako kwenye ubora wao
 
Fredick Sumaye aliyekuwa waziri mkuu wa Mkapa aliwahi kusema.. Ukitaka mambo yako yanyooke jiunge na CCM
Je kiboko ya wachawi hakuzingatia huu ushauri?

Pamoja na sababu zote zitakazosemwa ku justify kifungo chake bado kuna wenzake waliotenda mabaya zaidi na bado wanadunda kwa raha zao
Kuna kitu kisicho cha kawaida sana kwenye hili.. Kifungo chake kimekuja baada ya kutokea tenguzi na teuzi.. Je ni coicedence tu ama kuna mambo yanalandana?

Unajua haya mambo ni connection, ni kushikana mikono, ni nipe nikupe. Viongozi wote wa kisiasa wana 'ma baba wao wa kiroho' ama viongozi wa kidini..

Hawa watu wamebeba siri nyingi sana za wanasiasa kwakuwa wameaminiwa na wao na wanawasaidia mambo yao mengi ya kiroho yaliyojaa ulozi na ushirikina mkubwa kwa kivuli cha dini

Hawa viongozi wa kisiasa huwabeba na kuwalinda hawa wana dini kwa gharama kubwa mno lakini za kificho

Sasa hawa matapeli wa kidini huwa ni watembelea fursa na huwa hawawi na chanzo kimoja cha fursa. Fursa huleta sadaka nnono
Fursa huwatambulisha sehemu muhimu

Fursa huwapa nafasi ya kuheshimika na kutambulika
Fursa ni fursa .. Fursa fursana!!

Wajanja wanajua madhara ya kuwa na fursa chache.. Kuna leo kuna kesho.. Zikiondoka fursa mbali hakikisha unazo tatu kibindoni ili kujihakikishia ulinzi, connection na mapato

Kiboko ya wachawi ana mengi ya kusimulia.. Tuupe muda wakata.. Huu ni mwaka wa uchaguzi, vita vya wanasisa vinasambaa mpaka kwa 'View attachment 3055379mafundi'
Mkuu nakuomba inbox

Mkuu nakutafuta nakuomba inbox
 
Back
Top Bottom