Haya makanisa ya kitapeli yafutwe kuanzia la MwamposaBaada ya kikao chake na watendaji jana walikubalia waite mamluki waje kumpigania leo asubuhi kwa ujira wa buku teni .
Unaweza kuniuliza chochote kuhusu huduma hii hapa ili kupanua wigo wa kujifunza kuhusu hilo kanisa mpaka kufungiwa na unabii batili
USSR
90% ni utapeli tupuAiseee!Haya mambo ya uchungaji na unabii yana mengi sana.
Havieleweki mtu anaamka asubuhi anajiita Nabii au mchungajiSerikali inastahili lawama kwa kuwaruhusu wahuni kujipenyeza kwenye mambo ya msingi kama haya kiroho. Bila shaka vigezo vya mtu kuanzisha Kanisa, kuwa mchungaji, nabii, mtume, nk. vimelegezwa sana.
Lakini Sio kibungo?Hahaha mimi ni Amini ,Pastor Titii,Mama kachori ,mapanga, mwarabu, msoma neno na N.k
USSR
Mkuu mnahanagaika sana na ujinga na hizi ndio head line za Kibongo, Bongo ni ngumu sana kupata headline seriou kwa Faida ta nchi. Tumejaaa kufuatilia ujinga ujinga sana.Baada ya kikao chake na watendaji jana walikubalia waite mamluki waje kumpigania leo asubuhi kwa ujira wa buku teni .
Unaweza kuniuliza chochote kuhusu huduma hii hapa ili kupanua wigo wa kujifunza kuhusu hilo kanisa mpaka kufungiwa na unabii batili
USSR
Huu ni uislam gani unasema Ahmadiya, Shia, Suni, Ibadi au?وَمَن يَبْتَغِ غَيْرَ الْإِسْلَامِ دِينًا فَلَن يُقْبَلَ مِنْهُ وَهُوَ فِي الْآخِرَةِ مِنَ الْخَاسِرِينَ ﴿٨٥﴾
85. Na yeyote anayetaka dini isiyokuwa ya Kiislamu basi haitokubaliwa kwake, naye katika Aakhirah atakuwa miongoni mwa waliokhasirika.[31]
آل عمران
وَأَنَّ هَـٰذَا صِرَاطِي مُسْتَقِيمًا فَاتَّبِعُوهُ ۖ وَلَا تَتَّبِعُوا السُّبُلَ فَتَفَرَّقَ بِكُمْ عَن سَبِيلِهِ ۚذَٰلِكُمْ وَصَّاكُم بِهِ لَعَلَّكُمْ تَتَّقُونَ ﴿١٥٣﴾Huu ni uislam gani unasema Ahmadiya, Shia, Suni, Ibadi au?