Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Alimkomesha 😆😆Yule mshenzi alimpiga dada yangu laki 5 hivi hivi daaah inauma sana
Siwezi muinea huruma mtu mpumbavu,asipopigwa hawezi pata akili 😆😆Mwanangu kabisa(mshikaji) nae kapigwa kipumbavu 2milioni.
Kuja kusanuka anatuambia tukabaki tunacheka na kumuone huruma.
Ila hasira za kuchekwa alienda kumuashia dude nabii akamrudishia 1milion
Ili Dunia iwe mahala salama pa kuishi inahitajika wajinga ndio Waziri kuwa wengi.Baada ya serikali kulifungia Kanisa la Christian Life Church linaloongozwa na Mchungaji Domique Kashoix Dibwe maarufu Kiboko ya Wachawi, sasa mlinzi wake maarufu Mwarabufighter1 ameposti video kwenye mtandao wa kijamii akiwa na Mchungaji Dibwe Lubumbashi nchini Kongo.
Chanzo: Nipashe Tanzania
Na alivyo na Dharau na Nyodo katika hiyo Video yake anasema msiwe na wasiwasi anakula Maisha huko Congo DR.
Kwa kuwa wanaomuamini wajinga acha wadharauliwe na hawa manabii..Baada ya serikali kulifungia Kanisa la Christian Life Church linaloongozwa na Mchungaji Domique Kashoix Dibwe maarufu Kiboko ya Wachawi, sasa mlinzi wake maarufu Mwarabufighter1 ameposti video kwenye mtandao wa kijamii akiwa na Mchungaji Dibwe Lubumbashi nchini Kongo.
Chanzo: Nipashe Tanzania
Na alivyo na Dharau na Nyodo katika hiyo Video yake anasema msiwe na wasiwasi anakula Maisha huko Congo DR.
Huyo kapigwa yeye saa hizi anajifanya Atheist.Alimkomesha 😆😆
Dini zenu hizo za Kizungu ni utapeli, tofauti ni kwamba hizo zingine Zina mfumo rasmi ambao umefungamanishwa na Serikali na hao wengine ni mtu binafsi.Jukumu kubwa la serikali ni kuhakikisha ustawi na usalama wa watu wake. Ukishalijua hilo hautapaswa tena kuuliza hili swali lako. Anachokifanya Paul Kagame kule Rwanda, ndicho kilipaswa kufanywa na viongozi wetu dhidi ya hawa wadhalimu na matapeli.
Eh,kwani nipo pekee yanguSasa mi ntakuaminije?
NdiyoEh,kwani nipo pekee yangu
Kwani kafanya nini?Huyu jamaa sheria isimuache. Jeshi la polisi huyu kahujumu uchumi, atafutwe na interpol
Ushauri afungwe gereza za bongo
_Mwana sayansi mmoja wa anga pale NASA alikiri kabisa ni LAZIMA kuna nguvu kubwa ya uumbaji haiwezekaji system hasa hii ya mfumo wa jua ifanye kazi kwa usahihi miaka zaidi ya mabillioni."
Kawapiga wabongo hela za kuwaombea. Laki tano tano jamaa kapiga hela ndefu sanaKwani kafanya nini?
UongooNdiyo
Ndio, sasa hapo shida ni nini?Kawapiga wabongo hela za kuwaombea. Laki tano tano jamaa kapiga hela ndefu sana
Akafukuzwa nchini na serikali.
Yuko kwao kongi anawatukana wabongo
KweliUongoo