Kiboko ya Wachawi aonekana DR Congo, awatambishia Watanzania kuwa anakula maisha. Asema amemisi zile laki tano za kiingilio

CCM na kiboko ya wachawi hawana tofauti yyt n vile tu wkt haujafikaa nayo CCM ifukuzwe nchi maana mfumo wake ndio inawalea wahunii km kiboko ya wachawi na wanawafukuzaga kipindi washavuna kbs na kushibaa pesa za wajinga wachache wa Tz
CCM ifukuzwe nchini kwani ni mtu kama kiboko ya wachawi ujinga nwingine mnajifunziaga wapi?
 
Waendawazimu kweli 😄
Umewakomesha wajinga

Ova
 
Wakristo kwa kuibiwa hawajambo hlf ndo wanajikuta wasomi hhhhh usomi huu mtaendelea kuibiwa mpk basi
Hata kwingine wana tamani, wao wana namna zao za kupiga. Ktk dawa, uganga sijui tiba na dua.

Hakuna sehem kupo Safi
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

100%
 
Hii ina
Hii inaonyesha ni kwa kiwango gani serikali ya Tanzania ilivyo lala uzingizi wa kufa. Yaani mtu kutoka hapo Congo tu anakuja anaanzisha kanisa la kitapeli anajitangaza kwenye vyombo vya habari . Anatapeli watanzania kwa miaka mingi . Serikali haina habari kabisa. Sasa Ebu ni ambie kama utapeli wa kiwango hicho unawezekana kwenye sector ya dini? Je kwenye nyaja za biashara ni makampuni mangapi yanafanya biashara za utapeli au yanazalisha bidhaa fake au yanahamisha hela nje ya nchi huku yakiacha watanzania kwenye umasikini na afya mbaya. It is sad.
 
Nchi ya wajinga wengi...kapiga hela anakula bata na anatamba.
Ila kwa upande mwingine watanzania nao tumekuwa wajinga kupitiliza. Ni jukumu la serikali kuwathibiti hawa matapeli, ila na sisi tuwe tunatumia akili zetu vizuri kupambanua mchele na chuya. Yaani watu wanaibiwa kiboya kweli kweli, unaona kabisa hapa watu wanapigwa na bado wataendelea kupigwa.
 
Kongole kwake kwa kujikusanyia wapumbavu kawapiga na sasa anakula maisha safi sana. Akimaliza aje tena kivingine akusanye mpunga mwingine aendelee kula bata tu maana wenye akili siku zote huwala wapumbavu
 
Wajinga ndiyo waliwao. Amekula hadi za Wajane, wamehonga viwanja na magari walioachiwa na marehemu waume zao wamebakia puu dadeq
 
Wajinga ndiyo waliwao. Amekula hadi za Wajane, wamehonga viwanja na magari walioachiwa na marehemu waume zao wamebakia puu dadeq
Safi kabisa, ukiwa na uthubutu na ujasiri kama wa huyu jamaa lazima utajirike
 
Kwa uchumi upi huo wa kwa lulenge wa kupata 500k? Huyu alikuwa anajibrand ili apate watu wa maana wa kumpelekea hiyo 500k. Naona alikuwa mtakatisha fedha tuu kanisa lilikuwa kivuli cha kujifichia.
 
Wewe kinachokuuma ni usomi wa wakristu.Kwa taarifa yako wahudhiriaji wengi kwa kiboko ya wachawi na kwa Mwamposa ni Waislam
Acha uongo wewe mimi ni mkristo mwenzio ila nikuambie kitu hata umkute muislamu ambae hata msikitini haendi ni ngumu mno kumdanganya mara oooh kipofu anaona mara kilema katembea ila hili kwa wakristo lipo kinyume mno ndio maana ni jambo rahisi kutohoji watu wanapodanganyana kanisani kuwa Yesu ni mungu
 
Kitu chaajabu huwezi kuamini akirudi na kufungua kanisa watajaa tena na kumshangilia tena wanaweza tandaza khanga chini na kumpokea kama mfalme, Duniani kuna vituko bahna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…