Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
HUWA NASHANGAA SANA MTU NA AKILI ZAKO TIMAMU KUNYANYUA MGUU WAKO KWENDA KWA HAWA WAHUNI.Na akili zako kabisa unamsikiliza huyu muhun akiongelea taasis kubwa kama RC??
Mjibu kwa hoja sio mihemkoNa akili zako kabisa unamsikiliza huyu muhun akiongelea taasis kubwa kama RC??.
Sema tu nimesikitika kuona mtu mzima hapo mwanaume na yeye anasikiliza kwa makiniii dah!!! Kwel siku za mwisho watu watakua na kiu ya neno la Mungu sema tu ndio viziwi hawajui pa kulipatia
We unafikiri umeandika hoja yoyote hapo kijana au ni ujinga tu uliokujaa katika kuwafuatilia matapeli haoMjibu kwa hoja sio mihemko
Ok sawa mkuuWe unafikiri umeandika hoja yoyote hapo kijana au ni ujinga tu uliokujaa katika kuwafuatilia matapeli hao
Exact. Unamjibu mjinga sawa sawa na ujinga wakeOk sawa mkuu
Mjibu kwa hoja sio mihemko
Yupo sahihi.....Hata wakina mwamposa wanajua kanisa ni moja takatifu Katoliki la Mitume
Ngoja Anglicans wamshukie kama mwewe. Angesema kwa pamoja kuwa ukristu ni biashara.Na akili zako kabisa unamsikiliza huyu muhun akiongelea taasis kubwa kama RC??.
Sema tu nimesikitika kuona mtu mzima hapo mwanaume na yeye anasikiliza kwa makiniii dah!!! Kwel siku za mwisho watu watakua na kiu ya neno la Mungu sema tu ndio viziwi hawajui pa kulipatia
Tumia akiliAjibiwe kwa hoja gani?.
Pastor katoa sababu hapo ndio uzijibu mbonanachosha watu ?Ajibiwe kwa hoja gani?.
HakikaToka mwanzo tulionya. ..kiboko ya wachawi hana mahubiri ya kikristo, Mim sion mkatoliki ila mahubiri ya kichawi kichawi hunilishi