Dolla_Mbili
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,207
- 2,981
Daah aisee kazi imesimamia ukucha kiukweli, mkubwa anaenda kujilia vinono [emoji23][emoji23]Ukiambiwa tafta pesa ule vinono ndio hivyo mzee baba! Toto lina lips tamu balaa yani sipati picha huko jikoni itakuwaje ila tamu sana
Msosi wa maana ila mazingira ya kula kama umeiba mzee unakua hufaidi diko vizuri[emoji23]