Dolla_Mbili
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,207
- 2,981
Daah aisee kazi imesimamia ukucha kiukweli, mkubwa anaenda kujilia vinono [emoji23][emoji23]Ukiambiwa tafta pesa ule vinono ndio hivyo mzee baba! Toto lina lips tamu balaa yani sipati picha huko jikoni itakuwaje ila tamu sana
Ngoja niangalie, narudi na full chargeKwamba hujaona
Huo ndio ukweli.Utaruka sarakasi zote ila ikifikia hapa lazma utulize ngebe 😅😅😂😂😂 au nasema uongo ndugu zangu?!
Hahahah mwamba anaenda kumenya tunda, kama uliskiaga “Kambi popote” basi ndio hivyo yani!Daah aisee kazi imesimamia ukucha kiukweli, mkubwa anaenda kujilia vinono [emoji23][emoji23]
Msosi wa maana ila mazingira ya kula kama umeiba mzee unakua hufaidi diko vizuri[emoji23]
Daah kweli mzee kula ni popote bora kushiba tu[emoji23]Hahahah mwamba anaenda kumenya tunda, kama uliskiaga “Kambi popote” basi ndio hivyo yani!