joe teylor
Member
- Aug 12, 2014
- 7
- 0
Kama wewe ndo amekutuma kuja huku kumsifia ujinga eti "nguli wa habari" akili zenu zinafanana, weka cv yake tuone huo unguli!
Hongera kaka hongeraaa. Wenye vijiba vya moyo kimewashuka shuuuuuuu. Watasema nini sasa. Haoooooo
hivi huyu radhia sijui alishapotelea wapi
Inategemea ni bar na stationary yenye adhi ipi sasa ..uku mitaani naona mtu yeyote anaweza kumiliki biashara hyo.
mkuu jaribu 'kumkoti' labda atakujibu
binafsi naumia sana kuna wapendwa wetu humu wanapotea alafu bila taarifa
kwani wewe umefungua nini? Sidiria au zipu ya hicho kijinzi ulichovaa?
Hii nayo ni habari sasaaa mfyuuuuu
Tatizo umeshazoea ubuyu kila siku hahaaa siku nyingne mashudu kama haya
Aaa aipeleke mchanganyiko kule
Hii hata kule haifit sijui iende wapi
mkuu jaribu 'kumkoti' labda atakujibu
binafsi naumia sana kuna wapendwa wetu humu wanapotea alafu bila taarifa