Kibonde afungua baa na stationery

Kibonde afungua baa na stationery

Kama wewe ndo amekutuma kuja huku kumsifia ujinga eti "nguli wa habari" akili zenu zinafanana, weka cv yake tuone huo unguli!

Hata mie namshangaa huyu jamaa kumsifia mtu mbwiga kama kibonde,mlevi wa pombe kali,na kibaraka wa buku 7 anayelipwa kama wasanii wajinga kama diamont kuwafagilia buku 7,jamaa kasifia uharo mtupu.
 
Inategemea ni bar na stationary yenye adhi ipi sasa ..uku mitaani naona mtu yeyote anaweza kumiliki biashara hyo.
 
mkuu jaribu 'kumkoti' labda atakujibu

binafsi naumia sana kuna wapendwa wetu humu wanapotea alafu bila taarifa

kibonde ww n member wa loan body au tcu???, kihereher chako kiliweka wazi ukilaza wako!!! umeungaunga elimuu kilaza ww
 
Jamani sikila mwenye uwezo wa kuandika anauwezo wa kufanya kama jinsi kibonde alivyofanya kwani kuongea nirahisi mnobinafsi nampongeza mno kwa hatua ameyofikia kwani kainvest kiasi kikibwa japo si saana
 
2.5 billion za kampeni ya ndio zimeshatoka
 
Vipi mbona habari ya mwakajuzi imerudi tena au updates za kufilisika.
 
Unataka watu waanze kuanika Hapa sijui duka la dawa etc watu wenye maendeleo Yao wako kimya baa na stationery very minor things
 
Back
Top Bottom