Kibonde afungua baa na stationery

Kibonde afungua baa na stationery

Sauti yake ni nyororo Mhhhhhhhhhhhh

aache uropokaji,nakumbuka enzi nasoma UDSM alivyosemga mbovu mbofu

nimekumbuka zile moments acha kabisa kesho yake kwenye jahazi akawa mpole

Alikomeshwa zaidi na madaktari kipindi cha mgomo. Alijifanya kuropoka wao wakambw atukia.
 
Epuka MICHEPUKO
.
lol umetisha sana kibonde you'r the best ever
 
Kibonde ni mzuri kimombo nk tatizo ni kukurupuka na kufanya analysis na comments bila kuwa mwangalifu. A word spoken can't be retrieved back and mostly his words hurts other side.

Hapo kwenye kimombo siyo! Kawaida sana, kuna siku walimualika MD wa Vodacom ktk jahazi, mzungu aliongea cha kwao ( siyo cha bongo bongo) Kibonde alichemka ikabidi aitwe M.L.Chris ndiyo akamfanyia interview, hapo ndiyo walienda sawa.
 
Alikomeshwa zaidi na madaktari kipindi cha mgomo. Alijifanya kuropoka wao wakambw atukia.

Walitoa mpaka mpaka siri ya ugonjwa wake ktk mitandao, alijitahidi kuzifuta lakini watu walikuwa wameshasoma.
 
Na wewe!! Mh hallow ya paka ndo ikoje mpenzi?


Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Halo ya paka "Nyaunyau"

Back to the topic; Kibonde anaumwa ugonjwa unaoitwa "kutokujua kama hajui". Yaani yeye wakati wote anahisi yupo right,he doesn't think b4 he talks na siku zote arguments zake zina base upande ambao kunampa kula.Kwahiyo hawezi kuwa nguli wa habari hata kidogo kwa style hii
 
Makubwaa tumsengenye kwa lipi hata sauti nyororo na sie tunazo!!!!!!!!
 
Mropokaji huyo na kujifanya mjuaji nakumbuka issue ya mikopo chuo UDSM alijifanya anajua wanafunzi walitaka kumfata wakamfunze adabu aache kuingilia yasiyo muhusu
 
Mmmh bado sijaona point yako, sidhani kama mda wote anakuwa sahihi japokuwa ni mtangazaji mzuri ila ana matatizo ya kuropoka tu, sidhani kama watu wote wote watakuwa wanamponda with no reason..ana mapungufu yake

mkuu hata mimii point sijaiionaa labdaa jamaa aanze tenaa
k anamapungufuu ya kuropokaaaa mnoooo
 
Sauti yake ni nyororo Mhhhhhhhhhhhh

aache uropokaji,nakumbuka enzi nasoma UDSM alivyosemga mbovu mbofu

nimekumbuka zile moments acha kabisa kesho yake kwenye jahazi akawa mpole
Kumbe kipindi kile anaropoka bado ulikua UDSM??....mmmmh kumbe naweza nikawa Blazaa akoo eeeh
 
Back
Top Bottom