na wewe una matatizo...... unampaje promo mtu kama kibonde?2namtaka afanye hivyo lasivyo 2tamfanya mby!
Baada ya wanafunzi wa UDSM kuandamana na kutaka waengezewe posho, kibonde atoa mbofumbofu katika kipindi cha jahazi kwenye CLOUDS FM. kwa kuwaambia wanafunzi kuwa wanadai pesa wakati wanavitu vya thamani na pia kuwa wanataka kuendea mabaa, madisko na maklabu ambako yeye anapishana nao huko.
anasema anaishi maeneo ya external ubungo,so siyo mbali na wanapoishi wanafunzi wa udsm -Mabibo hostel,ndo maana anajua kuwa wanatumia boom la kusomea baa na kuleta bugudha wakati yeye kibonde akiwa maeneo ya jirani na kwake e.g club le mambo ,ubungo etcanaishi wapi tumfuate kwake?
Nadhani sasa umefika wakati wa kuwaminya makoo wale wote wanaojipendekeza na kuleta ushabiki wa kijinga. Wanafunzi waanze na Kibonde.Wala hawakutakiwa kumpa siku 3 walitakiwa kumfanyia mara moja hii ingekuwa ni fundisho kwa wote wanao jikomba.Hata akiomba radhi ni vema wampe kisago.