Kibonde apewa siku tatu kuomba msamaha wanafunzi wa chuo kikuu cha udsm

Kibonde apewa siku tatu kuomba msamaha wanafunzi wa chuo kikuu cha udsm

Na endelea kuwapa pole wanachuo maisha ya hapo kweli ni magumu sana poleni sana watu kama kibonde hawakosekani ktk jamii
 
hivi mtayarishaji wa kipindi cha jahazi ni kibonde au mtu mwingine?? nijuavyo mimi kuna script za kipindi... au tunashambulia a wrong person?
 
hivi mtayarishaji wa kipindi cha jahazi ni kibonde au mtu mwingine?? nijuavyo mimi kuna script za kipindi... au tunashambulia a wrong person?

Mwandaaji huandaa mada kuu lakini presenter huongeza ya kwake kunogesha kipindi. Hivyo huwezi kusema aliambiwa akaseme hivi ama vile. Kikubwa ni mada ya siku hiyo!
 
kibonde katumia uhuru wake wa kuongea, sema ni kwa sababu anpakuongelea! lakini wapo vibonde wengi tu ambao wamekosa majukwaaa!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom