Utingo JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 10,266 Reaction score 8,085 Feb 8, 2011 #21 Rwamuhuru said: Kibonde anapaswa kufundishwa kutumia mdomo wake vizuri huwa anaropoka mpaka inakuwa ngumu kumpatia tafsiri Click to expand... tatizo ni kibonde au mwajiri wake?
Rwamuhuru said: Kibonde anapaswa kufundishwa kutumia mdomo wake vizuri huwa anaropoka mpaka inakuwa ngumu kumpatia tafsiri Click to expand... tatizo ni kibonde au mwajiri wake?
H Hardwood JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,020 Reaction score 1,035 Feb 8, 2011 #22 Kayataka mwenyewe.....
B bakarikazinja Senior Member Joined Nov 9, 2009 Posts 177 Reaction score 8 Feb 13, 2011 #23 Na endelea kuwapa pole wanachuo maisha ya hapo kweli ni magumu sana poleni sana watu kama kibonde hawakosekani ktk jamii
Na endelea kuwapa pole wanachuo maisha ya hapo kweli ni magumu sana poleni sana watu kama kibonde hawakosekani ktk jamii
TIMING JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 28,186 Reaction score 15,549 Feb 13, 2011 #24 hivi mtayarishaji wa kipindi cha jahazi ni kibonde au mtu mwingine?? nijuavyo mimi kuna script za kipindi... au tunashambulia a wrong person?
hivi mtayarishaji wa kipindi cha jahazi ni kibonde au mtu mwingine?? nijuavyo mimi kuna script za kipindi... au tunashambulia a wrong person?
Eeka Mangi JF-Expert Member Joined Jul 27, 2008 Posts 3,173 Reaction score 482 Feb 13, 2011 #25 MTM said: hivi mtayarishaji wa kipindi cha jahazi ni kibonde au mtu mwingine?? nijuavyo mimi kuna script za kipindi... au tunashambulia a wrong person? Click to expand... Mwandaaji huandaa mada kuu lakini presenter huongeza ya kwake kunogesha kipindi. Hivyo huwezi kusema aliambiwa akaseme hivi ama vile. Kikubwa ni mada ya siku hiyo!
MTM said: hivi mtayarishaji wa kipindi cha jahazi ni kibonde au mtu mwingine?? nijuavyo mimi kuna script za kipindi... au tunashambulia a wrong person? Click to expand... Mwandaaji huandaa mada kuu lakini presenter huongeza ya kwake kunogesha kipindi. Hivyo huwezi kusema aliambiwa akaseme hivi ama vile. Kikubwa ni mada ya siku hiyo!
Mjanga JF-Expert Member Joined Feb 13, 2011 Posts 1,238 Reaction score 324 Feb 14, 2011 #26 kibonde katumia uhuru wake wa kuongea, sema ni kwa sababu anpakuongelea! lakini wapo vibonde wengi tu ambao wamekosa majukwaaa!!!!!!!!
kibonde katumia uhuru wake wa kuongea, sema ni kwa sababu anpakuongelea! lakini wapo vibonde wengi tu ambao wamekosa majukwaaa!!!!!!!!