komred zahir
Senior Member
- Dec 30, 2015
- 182
- 62
Hivi clouds aliajiriwa?Wewe Unadhani Akitoka Hapo Ataajirika Tena Sehemu Zingine?
Hivi clouds aliajiriwa?
Kuna radio nyingi za kitoto kama clouds blabla siku nzima mara niko kwenye daradara utotooo mara nini bonge sijui uko wapi hakuna faida kupoteza muda tu.
Ukishaingia huko 103.3 fm utazisahau radio stations zote, labda utakuwa unaingia radio 1 saa mbili kusikiliza habari au nipashe.Sikiliezeni BBC. Inapatikana 103.3 fm... Its so educative and informative...
Sure... Mi nimeshasahau kuangalia TV pamoja na kusikiliza stations nyingine...Ukishaingia huko 103.3 fm utazisahau radio stations zote, labda utakuwa unaingia radio 1 saa mbili kusikiliza habari au nipashe.