Kibonde kaondoka Clouds?

Kibonde kaondoka Clouds?

WADAU NISAIDIENI YUPO WAPI EMMANUEL BUHOHELA? Huyu alikua beneti sana na mh rais wakat wa kampeni au amepewa shavu?
 
Kibonde namsikiliza sasa hivi Clouds.
Yawezekana likizo (kimya chake) ila muda huu namsikia yeye Dakota hapa.
 
Kuna radio nyingi za kitoto kama clouds blabla siku nzima mara niko kwenye daradara utotooo mara nini bonge sijui uko wapi hakuna faida kupoteza muda tu.

Redio ipi wako serious??
 
Karibuni JEMBE FM clauds fm ndio inaenda kupotea watabaki na FIESTA tu
 
Back
Top Bottom