Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Hilo naliunga mkono na tena wachapwe bakora za kweri kweri, lakini Wapinzani kama Lissu wanatakiwa KUNYONGWA kabisa! Au unasemaje?Wapinzan wa hv inabidi wakamatwe na wapigwe viboko 19 adharan kwa kutuona nyani Watz
Hilo naliunga mkono na tena wachapwe bakora za kweri kweri, lakini Wapinzani kama Lissu wanatakiwa KUNYONGWA kabisa! Au unasemaje?
Daaaa umemkata kidevu mwisho kabisaaaHilo naliunga mkono na tena wachapwe bakora za kweri kweri, lakini Wapinzani kama Lissu wanatakiwa KUNYONGWA kabisa! Au unasemaje?
Kataja mambo ya Msingi sana Amani yetu nimemuelewa kwanza Amani mengine baadae.Mgombea wa Urais wa Chama Makini Amshukia Polepole. Aendelea kumnadi Samia.
Katika hali ya kipekee katika siku ya kwanza ya uzinduzi wa kampeni za Chama Makini, mgombea wa Urais wa chama hicho Coaster Kibonde amemshukia vikali Humphrey Polepole.
"Naomba Watanzania wenzangu popote unaponisikiliza waweze kumpuuza huyu Humphrey Polepole. Kwa sababu tumebaini, tumegundua ya kwamba Humphrey Polepole alikuwa ni mmoja wa wanamtandao ambao walikuwa wanataka kumwondoa DK. Samia Suluhu Hassan ili asiwe mgombea wa Chama cha Mapinduzi," alieleza Kibonde mbele ya wafuasi wa chama hicho katika uzinduzi wa kampeni za chama hicho Mazese, Dar es Salaam.
View attachment 3463030
Poa! 👍👍👍👍! Hiyo imeenda. Subiri utekelezaji!Ndiyo tena live tukiwa pale uwanja wa taifa
Sema mnavyojuana chaawa kiboooonde kibooondoo kipoondoooMgombea wa Urais wa Chama Makini Amshukia Polepole. Aendelea kumnadi Samia.
Katika hali ya kipekee katika siku ya kwanza ya uzinduzi wa kampeni za Chama Makini, mgombea wa Urais wa chama hicho Coaster Kibonde amemshukia vikali Humphrey Polepole.
"Naomba Watanzania wenzangu popote unaponisikiliza waweze kumpuuza huyu Humphrey Polepole. Kwa sababu tumebaini, tumegundua ya kwamba Humphrey Polepole alikuwa ni mmoja wa wanamtandao ambao walikuwa wanataka kumwondoa DK. Samia Suluhu Hassan ili asiwe mgombea wa Chama cha Mapinduzi," alieleza Kibonde mbele ya wafuasi wa chama hicho katika uzinduzi wa kampeni za chama hicho Mazese, Dar es Salaam.
View attachment 3463030
Yes, viboko 10 mwanzoni mwa campaign na viboko 9 mwishoni mwa campaign ili wakawaoneshe spouses wao!😁Wapinzan wa hv inabidi wakamatwe na wapigwe viboko 19 adharan kwa kutuona nyani Watz
Wapigwe viboko 21.Wapinzan wa hv inabidi wakamatwe na wapigwe viboko 19 adharan kwa kutuona nyani Watz
Ulichoandika baba yako akijua atasema bora wangekutafutia mume uolewe uwe mke wa mtu.Hilo naliunga mkono na tena wachapwe bakora za kweri kweri, lakini Wapinzani kama Lissu wanatakiwa KUNYONGWA kabisa! Au unasemaje?
lisu afutiwe kesi apewe nchiHilo naliunga mkono na tena wachapwe bakora za kweri kweri, lakini Wapinzani kama Lissu wanatakiwa KUNYONGWA kabisa! Au unasemaje?