Kibongo Bongo Mwanamke Yupi Mwenye Ushawishi Mkubwa?

kwani Mange ni Mbongo? mi najua ni mmarekani anayejua kiswahili tu yule dada.
 
Mange anaushawishi mtandaoni tu nje ya mtandao hajulikani, Wema Sepetu ingawa mimi namchukulia kama mtu wa ajabu ila wengi wanamfaham na wanamfatilia hadi interior huko
 
Hahahaha vilaza kweli eti mangi kitambi ana ushawishi hahahahahaahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…