Kibongo Bongo Mwanamke Yupi Mwenye Ushawishi Mkubwa?

Kibongo Bongo Mwanamke Yupi Mwenye Ushawishi Mkubwa?

Mange anaushawishi mtandaoni tu nje ya mtandao hajulikani, Wema Sepetu ingawa mimi namchukulia kama mtu wa ajabu ila wengi wanamfaham na wanamfatilia hadi interior huko
 
Hahahaha vilaza kweli eti mangi kitambi ana ushawishi hahahahahaahah
 
Back
Top Bottom