Kibongo Bongo Mwanamke Yupi Mwenye Ushawishi Mkubwa?

Mange anaushawishi mtandaoni tu nje ya mtandao hajulikani, Wema Sepetu ingawa mimi namchukulia kama mtu wa ajabu ila wengi wanamfaham na wanamfatilia hadi interior huko
Sio kweli mama yangu hana hata smartphone ila ananiambia sokoni walikuwa wanamjadili huyo mange kimambi kuwa kwann anamnyima usingiz
 
Irene uwoya kiboko mpaka dogo kaamua kuoa si mchezo!!
 
Zaidi ya bazazi mange kuna mwingine jamani
 
Kuweni wazi zaidi, kwa sura au 'upstairs'!?
 
Mbona mange alishindwa kushawishi watu wamchangie kwenye GoFundme[emoji28][emoji28]
 
Mbona mange alishindwa kushawishi watu wamchangie kwenye GoFundme[emoji28][emoji28]
Acha uongo..., wewe au kuna mwanamke yeyote nchi hii anayeweza kushawishi watu watoe pesa zifikie $ 37,000...?!

Achana na Mange kabisa wee mama...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…