mike2k
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 1,571
- 3,448
Sio kweli mama yangu hana hata smartphone ila ananiambia sokoni walikuwa wanamjadili huyo mange kimambi kuwa kwann anamnyima usingizMange anaushawishi mtandaoni tu nje ya mtandao hajulikani, Wema Sepetu ingawa mimi namchukulia kama mtu wa ajabu ila wengi wanamfaham na wanamfatilia hadi interior huko